Sheria Huduma Ndogo za fedha

1. UTANGULIZI
Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango iliandaa Sera ya Taifa ya Huduma Ndogo za Fedha
ya mwaka 2017.
Lengo kuu la Sera ya Huduma Ndogo za Fedha ni kuimarisha utoaji huduma za fedha kwa
wananchi wenye kipato cha chini. Sera hiyo pamoja na mambo mengine ilielekeza kutungwa kwa
sheria ya huduma ndogo za fedha ili kulinda watumiaji wa huduma hizo na kuondoa changamoto
zilizopo. Hivyo bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilitunga Sheria ya Huduma Ndogo
za Fedha ya Mwaka 2018.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.